• HABARI MPYA

  Saturday, October 26, 2013

  TENGA AAGA RASMI TFF, AFUNGUA MKUTANO MKUU KWA HOTUBA 'NDEEEFU' YA HISTORIA YA MIAKA NANE YA UTAWALA WAKE

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga anayemaliza muda wake, akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo asubuhi hii katika ukumbi wa NSSF Water Front, utakaofuatiwa na Uchaguzi Mkuu kesho. Tenga alitoa hotuba ndefu akielezea mafanikio aliyoyaleta TFF katika kipindi cha miaka yake nane ya kuongoza chombo hicho tangu mwaka 2004.

  Mgombea nafasi ya Umakamu wa Rais wa TFF, Wallace Karia kushoto akisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Tenga

  Kutoka kulia, Mgombea Urais wa TFF, Athumani Nyamlani, Mbunge wa Temeke, Zuberi Mtemvu na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu'

  Kulia ni Ofisa Maendeleo wa Shirikisho la Soka  Kimataifa (FIFA) Kanda ya Kusini, Ashford Mamelodi kutoka Botswana na kushoto Henry Tandau, Mkufunzi wa FIFA kutoka hapa hapa Tanzania 

  Rais wa heshima wa TFF, Muhiddin Ndolanga yupo pia

  Mgombea Urais wa TFF, Jamal Malinzi kushoto

  Wajumbe

  Wajumbe

  Wajumbe

  Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad Said Abeid kushoto akisoma dua maalum kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu. Kulia ni Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage

  Wajumbe wakiitikia dua

  Meza kuu

  Wajumbe

  Wajumbe

  Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi ya TFF, Kamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Alfred Tibaigana kushoto na kulia ni kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TENGA AAGA RASMI TFF, AFUNGUA MKUTANO MKUU KWA HOTUBA 'NDEEEFU' YA HISTORIA YA MIAKA NANE YA UTAWALA WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top