• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 25, 2013

  DEFOE AING'ARISHA SPURS NA KUVUNJA REKODI YA MABAO ULAYA

  MSHAMBULIAJI Jermain Defoe kwa mara nyingine amedhihirisha hajachuja baada ya kuifungia bao Tottenham katika ushindi wa 2-0 dhidi ya FC Sheriff Tiraspol kwenye Europa League na kuvunja rekodi ya mabao ya Martin Chivers iliyodumu kwa miaka 40 katika michuano ya Ulaya.
  Shujaa wa miaka ya sabini, Big Chiv, mshindi wa Kombe la UEFA akiwa na Spurs mwaka 1972, alisema amefurahi kufikiwa idadi yake ya mabao, 22 na mshambuliaji tegemeo la Spurs hivi sasa.
  Defoe, alianza katika nafasi ya Roberto Soldado, akiwa amefunga mabao sita katika msimu huu wa Europa League na usiku huu akafunga tena dakika ya 75 baada ya Vertonghen kutangulia Spurs dakika ya 12 katika ushindi wa 2-0
  Kikosi cha Tottenham kilikuwa: Lloris, Naughton, Chiriches, Vertonghen, Fryers/Dawson dk34, Dembele, Sandro/Holtby dk76, Lamela/Chadli dk61, Eriksen, Lennon na Defoe.
  Sheriff: Tomic, Balima, Paye, Moyal/Furdui dk70) Samardzic, Metoua, Cavalcante Mendes, Stanojevic, Isa Mustafa/Paireli dk88, de Fiori Mendes/Gomes de Jesus dk84 na Henrique de Sousa

  Game over: Jermain Defoe's powerful strike takes a deflection into the net for Tottenham's second goal of the night
  Record holder: Defoe's goal brings him level with Martin Chivers' European record
  Record holder: Defoe's goal brings him level with Martin Chivers' European record
  Heads up: Jan Vertonghen rises highest to nod home Tottenham's opener
  Heads up: Jan Vertonghen rises highest to nod home Tottenham's opener
  Under pressure: Sheriff's Luvannor Henrique shuts down Spurs full-back Kyle Naughton
  Under pressure: Sheriff's Luvannor Henrique shuts down Spurs full-back Kyle Naughton
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEFOE AING'ARISHA SPURS NA KUVUNJA REKODI YA MABAO ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top