• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 30, 2013

  BARCELONA YAENDELEA NA MPANGO WA KUMSAJILI KIPA WA LIVERPOOL

  KLABU ya Barcelona imeendelea na nia yake ya kumsajili kipa wa Liverpool, Pepe Reina.
  Kipa huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 31 amepelekwa kwa mkopo wa muda mrefu Napoli, laki Rafa Benitez bado hajaamua kumnunua jumla wakati Liverpool inataka kuachana naye moja kwa moja.
  Barca imefanya mazungumzo na kipa mwenye thamani ya Pauni Milioni 8 wa Borussia Monchengladbach, Marc-Andre Ter Stegen, mwenye umri wa miaka 21, lakini bado inamsaka mbadala wa Victor Valdes.
  Beaten: Reina attempts to get near a stunning Mesut Ozil shot during Arsenal's win over Napoli
  High jump: Reina makes a save for Naploli
  High jump: Reina makes a save for Naploli
  Katibu wa Ufundi, Albert Valentin alikwedna kumuona Reina akiiongoza timu yake kushinda 2-1 dhidi ya Marseille katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wiki iliyopita kabla hajaenda kumuona Ter Stegen akimenyana na Eintracht Frankfurt.
  Lakini mabingwa hao wa La Liga pia wanamfuatilia Fraser Forster baada ya Xavi kusema kipa huyo wa Celtic ni wa kiwango cha dunia. 
  Valdes atakamilisha miaka yake 11 ya kuishi Nou Camp mwishoni mwa msimu huku Forster akipewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba yake.
  Stopper: Fraser Forster was scintillating against Barcelona and the Catalans are interested
  Stopper: Fraser Forster was scintillating against Barcelona and the Catalans are interested
  Wanted man: Xavi has hailed Forster as 'world-class' and someone who can succeed at the Nou Camp
  Wanted man: Xavi has hailed Forster as 'world-class' and someone who can succeed at the Nou Camp
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YAENDELEA NA MPANGO WA KUMSAJILI KIPA WA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top