// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FERGUSON AKIRI KUMUUZA STAM LILIKUWA KOSA KUBWA ZAIDI MAISHA YAKE YOTE MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FERGUSON AKIRI KUMUUZA STAM LILIKUWA KOSA KUBWA ZAIDI MAISHA YAKE YOTE MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, October 21, 2013

  FERGUSON AKIRI KUMUUZA STAM LILIKUWA KOSA KUBWA ZAIDI MAISHA YAKE YOTE MAN UNITED

  KOCHA Sir Alex Ferguson amesema kwamba kosa kubwa alilowahi kufanya wakati akiwa kazini ni kumuacha beki Mholanzi, Jaap Stam aondoke Manchester United mwaka 2001.
  Majuto mjukuu: Kumuuza Jaap Stam (juu) lilikuwa kosa kwa mujibu wa Sir Alex Ferguson (chini)
  Regret: Jaap Stam's (above) departure was a mistake according to Sir Alex Ferguson (below)  Solid: Stam says he was forced out at Old Trafford
  Kisiki kweli: Stam alipasua alipoondoka United kwa kusema
  Ferguson alilazimisha aondoke Old Trafford
  Fergusona akiri kosa kumuuza Stam

  Beki huyo wa nguvu wa kati alikuwa kisiki cha safu ya ulinzi ya United tangu alipowasili mwaka 1998, lakini akauzwa Lazio kwa dau la Pauni Milioni 15.3 akiwa ana umri wa miaka 29 baada ya kupona majeruhi.
  Stam alielezea katika kitabu chake kwamba Ferguson alilazimisha kuhamia kwake timu hiy ya Serie A kutokana na mazungumzo yaliyofanyika katika gari lake kituo cha petroli.
  Akizungumza katika mahojiano ya awali kabla ya mahojiano maalum na Televisheni ya klabu hiyo, MUTV, Ferguson alisema; "Wakati napofikiria maumivu, wazi Jaap Stam wakati wote ilikuwa ni maumivu kwangu, nilifanya maamuzi mabovu wakati huo,".
  Uamuzi mbovu wa Mscotland huyo inasemekana ulitokana na mambo binafasi zaidi, baada ya kutofautiana na beki huyo kila mtu akiwa kwenye gari lake wakitoka mazoezini na kumuamuru ajiunge na Lazio haraka iwezekanvyo.
  Banished: The Dutchman had to move to Lazio
  Alitolewa kafara: Mholanzi huyu alitimkia Lazio
  Successful: Stam won three Premier League titles during his time in Manchester
  Mafanikio: Stam alishinda mataji matatu ya Ligi Kuu England wakati wake akiwa Manchester
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FERGUSON AKIRI KUMUUZA STAM LILIKUWA KOSA KUBWA ZAIDI MAISHA YAKE YOTE MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top