• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 29, 2013

  WAKATI MGUMU KWA KING KIBADEN SIMBA SC, UTAMUONEA HURUMA 'WALLAHI'

  Kocha Mkuu wa Simba SC, Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akiwa mwenye huzuni baada ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodaco Tanzania Bara jana dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilifungwa 2-1.  Hapa ni wakati mechi inakaribia kuanza akiwa na Wasaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na James Kisaka kulia

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAKATI MGUMU KWA KING KIBADEN SIMBA SC, UTAMUONEA HURUMA 'WALLAHI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top