• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 31, 2013

  SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA!

  Mshambuliaji wa Smba SC, Amisi Tambwe akiwaacha mabeki wa Kagera Sugar wakiangukiana na kipa wa Aghaton Anthony  ambaye aliumia baada ya tukio hilo na kushindwa kuendelea na mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.


  Amisi Tambwe akimtoka Martin Muganyizi


  Martin Muganyizi akimuweka chini Amisi Tambwe


  Amisi tambwe akipambana na Maregesi Mwangwa


  Amisi Tambwe akipasua katikati ya Daudi Jumanne kulia na Ernest Mwalupani kushoto


  Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka Martin Muganyizi


  Betram Mombeki na Maregesi Mwangwa


  Betram Mombeki akipiga kichwa


  Amisi Tambwe akimiliki mpira ya Ernest Mwalupani


  Jonas Mkude akigombea mpira na Ernest Mwalupani


  Bao la mabonu; Kipa wa Simba SC, Abuu Hasimu akiruka upande tofauti na ulipoelekea mpira kufuatia mkwaju wa penalti wa Salum Kanoni 


  Betram Mombeki alifunga bao ambalo lilikataliwa na refa


  Salum Kanoni akishangili baada ya kufunga bao muhimu


  Beki wa Simba, Issa Rashid ''Baba Ubaya akimuacha chini mchezaji wa Kagera


  Ernest Malupani akibinuka tuk tak pembeni ya Amisi Tambwe


  Ramadni Singano akimgeuza beki wa Kagera Sugar, Ernest Mwalupani


  Kikosi cha Simba leo


  Kikosi cha Kagera leo


  Makocha waa Simba SC wakimlalamikia refa wa akiba kwa kuzidisha muda wa mechi


  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe katikati, ku;ia Meneja wa zamani wa timu hiyo, Evarist Hagila na kushoto aliyekuwa Makamu Mqennyeiki wa Simba Geoffrey Nyange 'Kaburu'


  Hans Poppe akiwa na kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph  Itang'are 'Kinesi' kushoto


  Benchi la Simba SC baada ya Kagera kusawazisha bao 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top