• HABARI MPYA

  Friday, October 25, 2013

  KILIMANJARO PREMIUM LAGER YALETA BONGE LA BONANZA LA NANI MTANI JEMBE JUMAPILI HII

  • Kilimanjaro Premium Lager inawakaribisha kushuhudia Bonanza kubwa la aina yake Jumapili hii tarehe 27 October!,Kuanzia saa nne Asubuhi. Mashabiki wa timu hizi kubwa Tanzania watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
  *      Kuvutana kamba!!.
  *      Foos Ball!!
  *      Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
  Ø  Myama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo…

  • Mkoani Mwanza; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa Polisi Mabatini!!. Kutumbuiza jukwaani watakuwepo Sebedack Music Band… wana Kusebeduka!..

  • Mkoani Arusha; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika viwanja vya General Tyre!!. Jukwaani watakuwepo…The Aqua Band!..

  • Mkoani Mbeya; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa Chuo cha Uhasibu!!. jukwaani burudani kutoka kwa wana Mtipe Mtipe Music Band… wazee wa misumari!..

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO PREMIUM LAGER YALETA BONGE LA BONANZA LA NANI MTANI JEMBE JUMAPILI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top