// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WENGER APAGAWA NA BAO LA WILSHERE, ASEMA MIAKA 17... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WENGER APAGAWA NA BAO LA WILSHERE, ASEMA MIAKA 17... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 20, 2013

    WENGER APAGAWA NA BAO LA WILSHERE, ASEMA MIAKA 17...

    KOCHA Arsene Wenger amesema bao la kwanza la timu yake lililofungwa na Jack Wilshere katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Norwich City lilikuwa moja ya mabao bora aliyowahi kushuhudia katika miaka yake 17 ya kufanya kazi katika klabu hiyo.
    Wilshere alimalizia bao zuri dakika ya 20 lililotoka na gonga safi, Arsenal ikirejea kilelenimwa Ligi Kuu England, kabla ya Mesut Ozil kufunga mawili na Aaron Ramsey moja. 
    Kabla ya kufunga bao hilo linaloingia kwenye kinyang'anyiro cha bao bora la msimu, Wilshere aligongeana pasi na Olivier Giroud kisha kumalizia kwa kumtungua John Ruddy. 
    Stunning: Jack Wilshere finished off a fine team move to put Arsenal in front against Norwich at the Emirates

    "Kweli lilikuwa moja ya mabao bora na bao ambalo limelifrahia mno,"alisema Wenger said. "Lilikuwa bao la timu na ilikuwa kasi ambayo unataka timu yako icheze.  
    "Lilitokana na mchanganyiko wa ubora wa ufundi na maamuzi ya haraka - lilikuwa babu kubwa. Tumefunga mabao fulani mazuri msimu huu na yote manne yalikuwa mazuri leo,".
    Pleased as punch: Arsenal boss Arsene Wenger rates Wilshere's goal as the best during his time at the club
    Pleased as punch: Arsenal boss Arsene Wenger rates Wilshere's goal as the best during his time at the club
    At the double: Mesut Ozil scored twice as Arsenal cemented their place at the top of the table
    At the double: Mesut Ozil scored twice as Arsenal cemented their place at the top of the table
    At the double: Mesut Ozil scored twice as Arsenal cemented their place at the top of the table
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WENGER APAGAWA NA BAO LA WILSHERE, ASEMA MIAKA 17... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top