• HABARI MPYA

  Thursday, October 31, 2013

  LIGI YA MUUNGANO YA NETIBOLI YAMALIZIKA ZANZIBAR  Mchezaji Amina Shada (GK) wa timu ya Magereza akidaka mpira mbele ya mchezaji Dela wa Timu ya Mafunzo ya Zanzibar katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana. Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.

  Mchezaji wa tum ya Mafunzo Dela akidaka mpira mbele ya walinzi wa Timu ya Magereza katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.


   Rais wa Chaneta Bi. Anna Kibira akizungumza na wachezaji mara baada ya kumaliza kwa ligi ya Muungano iliyofanyika Jimkana Mjini Zanzibar jana. Kushoto mgeni Rarmi Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud na katikati Rais wa Chaneza Bi. Rahma Ali Khamis.


  Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu ya Mafunzo Elizabeth John mara baada ya kumaliza mchezo wake na Magereza na kuchukua nafasi ya pili ya ligi ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.
   Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu ya JKT Mwanaidi Hasan. Baada ya Timu hiyo kutwaa ubingwa wa Netboll katika ligi ya Muungano. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA MUUNGANO YA NETIBOLI YAMALIZIKA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top