• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 28, 2013

  BONANZA LA NANI MTANI JEMBE KATIKA VIWANJA VYA POLISI MABATINI MWANZA

  Afisa masoko wa TBL Mwanza Bw Juma Akida akitoa jezi kwa mashabiki wa vilabu vya Yanga na Simba katika bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro. Bonanza hilo limefanyika ktk viwanja vya Police Line Mabatini jijini Mwanza leo.

  Kikosi cha mashabiki wa Yanga

  Simba hao

  Simba na Yanga pamoja mstarini tayari kwa mechi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BONANZA LA NANI MTANI JEMBE KATIKA VIWANJA VYA POLISI MABATINI MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top