• HABARI MPYA

    Tuesday, October 29, 2013

    YANGA SC ILIVYOICHABANGA 3-0 MGAMBO JKT LEO TAIFA

    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akijiandaa kupiga krosi pembeni ya beki wa Mgambo JKT, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0.

    Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Mgambo

    Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Mgambo

    Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Mgambo

    Simon Msuva alimpiga chenga mbaya beki wa Mgambo

    Simon Msuva anamzunguka beki wa Mgambo

    Kipa wa Mgambo, Tony Kavishe akipangia krosi

    Athumani Iddi 'Chuji' akitafuta njia

    Chuji kazini

    Didier Kavumbangu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mgambo

    Hamisi Kiiza akiwatoka mabeki wa Mgambo

    Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mgambo

    Jerry Tegete akimtoka beki wa Mgambo

    Mrisho Ngassa na Simon Msuva wakiwa benchi baada ya kutolewa kipindi cha pili

    Kikosi cha Yanga leo

    Kikosi cha Mgambo

    Mashabiki wa Yanga SC kwa raha zao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOICHABANGA 3-0 MGAMBO JKT LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top