• HABARI MPYA

  Wednesday, October 23, 2013

  YANGA SC NA RHINO RANGERS KATIKA PICHA LEO TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Rhino Rangers katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0.

  Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Rhino

  Hatari kwenye lango la Rhino

  Simon Msuva na beki wa Rhino

  Wachezaji wa Yanga wakishangilia kulia, huku mchezaji wa Rhino akiwalalamikia wenzake 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA RHINO RANGERS KATIKA PICHA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top