• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 28, 2013

  RASMI, MALINZI RAIS MPYA TFF NA WALACE KARIA MAKAMU WAKE

  Jamal Malinzi kushoto akiwa na swahiba wake, Rutayuga. Ameshinda Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kura 72 kati ya 126 zilizopigwa. Wallace Karia ameshinda nafasi ya Makamu wa Rais dhidi ya Nassib Ramadhabi na Imani Madega. Picha za chini na mashabiki wa Malinzi wakishangilia ushindi wa kipenzi chao huyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASMI, MALINZI RAIS MPYA TFF NA WALACE KARIA MAKAMU WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top