WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA
Shabiki mwingine aliyezimia
Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.
0 comments:
Post a Comment