• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 25, 2013

  ZIARA YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI LEO OFISI ZA AZAM MEDIA

  Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari wakati wa ziara ya Vyombo vya Habari nchini katika ofisi za Azam TV mchana wa leo barabara ya Nyerere, Dar es Salaam. 

  Torrington akiwahutubia Waandishi wa Habari

  Torrington akionyesha king'amuzi na rimoti ya Azam TV, ambavyo vitaanza kuuzwa mwezi ujao kwa bei ya Sh. 95,000 pamoja na dishi lake na huduma za kufungiwa, wakati malipo ya mwezi yatakuwa ni Sh. 12,500.

  Bei moja chaneli kibao babu kubwa, burudani, maisha, habari na michezo mbalimbali

  Torrington akizungumza na Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry kushoto

  Azam TV imenunua haki za kuonyesha Ligi Kuu ya Bara

  Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam TV, Eric Caste akifafanua jambo kwa Waandishi 

  Waandishi wa Habari wakielekezwa mambo na Meneja Huduma kwa Wateja, Loth Mziray katika ofisi ya Huduma kwa Wateja ya Azam TV  

  Mziray aliwapa maelezo ya kutosha Waandishi

  Mziray akijibu swali la Mhariri wa Michezo wa gazeti la Habari Leo, Mgaya Kingoba kulia

  Waandishi pia waliingias kwenye gari la kurushia matangazo ya mpira moja kwa moja kujionea

  Ndani ya gari hilo, wakielekezwa mambo na Mtaalamu Meb

  Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam Media, Yussuf Bakhresa akizungumza na Waandishi wa Habari

  Yussuf akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ZIARA YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI LEO OFISI ZA AZAM MEDIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top