• HABARI MPYA

    Wednesday, October 23, 2013

    SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI..MKONO WA BIN ZUBEIRY NI NOMA!

    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akipambana na msitu wa wachezaji wa Coastal Union leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo, Mechi hiyo iliisha kwa sare ya 0-0.

    Mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher Edward  akipambana na beki wa Coastal Union

    Mshambuliaji wa Simba SC, Zahor Pazi akimiliki mpira mbele ya beki wa Coastal Union, Juma Nyosso

    Kipa wa SImba SC, Abuu Hashimu akiwa amedaka mpira mbele ya Haruna Moshi 'Boban' wa Simba SC

    Haruna Shamte wa Simba SC akipambana na kiungo wa Coastal, Crispin Odula

    Kiungo wa SImba SC, William Lucian 'Gallas' akipambana na beki wa Coastal Union, Juma Nyosso 

    Amri Kiemba wa Simba SC akimtoka Juma Nyosso wa Coastal

    Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira kushoto akitoka uwanjani baada ya kuumia kipindi cha kwanza

    Zahor Pazi akijaribu kuiwahi krosi bila mafanikio, huku kipa wa Coastal, Shaaban Kado akiwa tayari kuokoa  

    Jerry Santo wa Coastal akipambana na viungo wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' na Saidi Ndemla

    Said Ndemla akimdhibiti Yayo Lutimba wa Coastal 

    Juma Nyosso akimvuta jezi Amisi Tambwe

    Haruna Moshi wa Coastal akimtoka Kaze Gilbert wa Simba SC

    Haruna Moshi akiwa ameanguka chini baada ya kukutana na Kaze Gilbert

    Haruna Moshi kushoto na Kaze Gilbert kushoto

    Haruna Moshi na Kaze Gilbert

    11 wa Simba SC walioanza leo

    11 wa Coastal walioanza leo

    Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akishuhudia mchezo huo leo Mkwakwani

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia na Kaimu Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang'are 'Kinesi' 

    Kocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni kulia akiwa na Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na Meneja Nico Nyagawa

    Makocha wa Muda wa Coastal, Razack Yussuf 'Careca' na Joseph Lazaro 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI..MKONO WA BIN ZUBEIRY NI NOMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top