• HABARI MPYA

    Thursday, October 24, 2013

    SIMBA SC WAGAWIWA MILIONI 12 KATIKA MILIONI 51.6 ZILIZOPATIKANA DHIDI YA COASTAL MKWAKWANI JANA

    Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC na wenyeji Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga imeingiza jumla ya Sh. Milioni 51.6 (51.586,000) na kila klabu imepata Sh. Milioni 12 katika mchezo huo uliomalizika kwa sare 0-0, habari hizi ni kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka Chama cha Soka Tanga (TRFA). Pichani ni Juma Nyosso wa Coastal kulia akipambana na Amisi Tambwe wa Simba SC katika mchezo huo jana.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WAGAWIWA MILIONI 12 KATIKA MILIONI 51.6 ZILIZOPATIKANA DHIDI YA COASTAL MKWAKWANI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top