• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 27, 2013

  MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA

  Mgombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi unaoendelea kwenye ukumbi wa NSSF Water Front mida hii, Athumani Nyamlani akiondoka zake kabla ya matokeo kutangazwa. Nyamlani alisema anakwenda kula, lakini habari kutoka ndani ya ukumbi wa Mkutano zinasema mpinzani wake Jamal Malinzi ameshinda kwa kishindo. Matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa baadaye usiku huu. 

  Nyamlani akisindikizwa na wapambe wake kuondoka ukumbini

  Akisalimiana na wadau

  Alikuwa akisema asante akiambiwa pole na hongera

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top