• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 26, 2013

  MABINTI WA KIMAKONDE WAKIPIGA MSOSI SAPPHIRE KABLA YA KUONYESHANA KAZI NA DADA ZETU TAIFA BAADAYE

  Wachezaji wa timu ya taifa ya Msumbiji chini ya umri wa miaka 20, wakichukua chakula katika mgahawa wa hoteli ya Sapphire Court, Kariakoo, Dar es Salaam mchana wa leo. Timu hiyo itamenyana na U20 ya wanawake wa Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya Kombe la Dunia kwa vijana wa umri huo. 

  Wachezaji wa Msumbiji

  Chakula kitamu

  Kitamu sana

  Sapphire wanapika vizuri

  Chakula safi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MABINTI WA KIMAKONDE WAKIPIGA MSOSI SAPPHIRE KABLA YA KUONYESHANA KAZI NA DADA ZETU TAIFA BAADAYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top