// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BAO TATA LA CHELSEA JANA LAZIDI KUZUA MJADALA ENGLAND...ETO'O KWELI MBAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BAO TATA LA CHELSEA JANA LAZIDI KUZUA MJADALA ENGLAND...ETO'O KWELI MBAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, October 20, 2013

  BAO TATA LA CHELSEA JANA LAZIDI KUZUA MJADALA ENGLAND...ETO'O KWELI MBAYA

  KOCHA Msaidizi wa Chelsea, Steve Holland amesema kwamba bao gumu la kusawazisha la timu yake jana lisingekubaliwa japokuwa lilikuwa halali.
  Samuel Eto’o alimvizia kipa wa Cardiff, David Marshall anadunda mpira akauwahi kuondoka nao kabla ya kumpasia Eden Hazard aliyefunga bao la kusawazisha na mwishoni Chelsea ikishinda 4-1. 

  Controversy: Samuel Eto'o nicked the ball from Cardiff goalkeeper David Marshall before Eden Hazard equalised for Chelsea
  On the prowl: Eto'o watches David Marshall as the keeper bounces the ball
  On the prowl: Eto'o watches David Marshall as the keeper bounces the ball
  Gotcha: Eto'o nicks the ball from the stopper before setting up the crucial equaliser at Stamford Bridge
  Gotcha: Eto'o nicks the ball from the stopper before setting up the crucial equaliser at Stamford Bridge

  Na baada ya The Blues kushinda 4-1, Holland akasema: "Samuel alikuwa begani kwa kipa, nafikiri kipa alikuwa makini kwamba (Eto'o) alikuwepo pale. Akadunga mpira na ukiwa hewani ndipo Samuel akaupiga kuzalisha bao la kusawazisha. 
  "Refa — kama ambavyo nimefanya — alikuwa anamtazamo mzuri na nina uhakika yuko makini na sheria,"aliongeza. 
  Keep calm: Cardiff manager Malky Mackay managed to keep his cool after the game
  Keep calm: Cardiff manager Malky Mackay managed to keep his cool after the game
  Off you go: Chelsea manager Jose Mourinho is sent off by referee Anthony Taylor
  Off you go: Chelsea manager Jose Mourinho is sent off by referee Anthony Taylor
  One for me: Eto'o wheels away after scoring a goal of his own as Chelsea cruised to victory
  One for me: Eto'o wheels away after scoring a goal of his own as Chelsea cruised to victory
  One for me: Eto'o wheels away after scoring a goal of his own as Chelsea cruised to victory

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO TATA LA CHELSEA JANA LAZIDI KUZUA MJADALA ENGLAND...ETO'O KWELI MBAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top