• HABARI MPYA

  Wednesday, October 23, 2013

  YANGA SC YAWAPOZA MACHUNGU MASHABIKI WAKE, YAIFUMUA RHINO 3-0, KIIZA MAWILI...SIMBA 0-0 COASTAL, NYOSSO NA TAMBWE ILIKUWA...

  Mshambuliaji wa Simba SC akimuacha chini bek Juma Nyosso katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vpodacom Tanzania leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
  YANGA SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rhino Rangers Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii Hamisi Kiiza akifunga mabao mawili na Frank Domayo moja wakati Simba SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. HABARI ZAIDI ITAFUATIA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAWAPOZA MACHUNGU MASHABIKI WAKE, YAIFUMUA RHINO 3-0, KIIZA MAWILI...SIMBA 0-0 COASTAL, NYOSSO NA TAMBWE ILIKUWA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top