• HABARI MPYA

    Saturday, July 06, 2013

    CHAMAKH ALIYEFULIA ARSENAL SASA KUTIMKIA LA LIGA

    IMEWEKWA JULAI 6, 2013 SAA 1:23 ASUBUHI
    KLABU ya Levante ya Hispania inamtaka mshambuliaji 'aliyefulia' Arsenal, Marouane Chamakh. 
    Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Morocco anauzwa, lakini Levante inataka kumnunua kwa Pauni Milioni 1 tu.
    Arsenal ilimsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 bure kutoka Bordeaux, lakini alikuwa analipwa kiasi cha Pauni 65,000 kwa wiki. 
    Unsuccessful loan spell: Marouane Chamakh played for West Ham last season
    Hakufanya vizuri kwa mkopo: Marouane Chamakh aliichezea West Ham kwa mkopo msimu uliopita
    Poor showing: Marouane Chamakh, right, has not lived up to expectations at Arsenal since signing
    Kiwango kibovu: Marouane Chamakh, kulia, hajaonyesha matumaini yoyote tangu ajiunge na Arsenal

    Mshambuliaji huyo aliwasili Emirates kama mchezaji huru mwaka 2010 alitarajiwa kuwa mmoja wa wafungaji tishio, lakini amefeli hata alipopelekwa kwa mkopo West Ham msimu uliopita na kuufanya mustakabali wake uwe mbaya Ligi Kuu ya England.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHAMAKH ALIYEFULIA ARSENAL SASA KUTIMKIA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top