BONDIA wa Canada, Lucien Bute, kushoto, na Muingereza Carl
Froch wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari juzi,
mjini Montreal. Bute atatetea taji lake la IBF uzito wa Super Middle dhidi ya
Froch, Mei 26, mwaka huu mjini Nottingham, England.
0 comments:
Post a Comment