• HABARI MPYA

  Saturday, March 09, 2019

  BILA RONALDO, JUVENTUS YASHINDA 4-1 DHIDI YA UDINESE SERIA A

  Kinda Moise Kean akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 11 na 39 Juventus ikiibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Udinese katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino usiku wa jana.
  Mabao mengine ya Juventus yamefungwa na Emre Can kwa penalti dakika ya 67 na Blaise Matuidi dakika ya 71, wakati bao pekee la Udinese lilifungwa na Kevin Lasagna dakika ya 84 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILA RONALDO, JUVENTUS YASHINDA 4-1 DHIDI YA UDINESE SERIA A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top