• HABARI MPYA

    Tuesday, October 17, 2017

    ZIARA YA KIKOSI CHA SINGIDA UNITED OFISI ZA SPORTPESA JANA

    Kocha wa Singida United, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwa na wasaidizi wake kwenye ofisi za wadhamini wakuu wa klabu hiyo, kampuni ya SportPesa zilizopo Oysterbay, Dar es Salaam walipofika jana kwa ziara ya kujionea yanayoendelea hapo
    Wachezaji wa Singida United wakisikiliza kwa makini moja ya hotuba za viongozi wa SportPesa 
    Wachezaji wa Singida United katika ukumbi wa mikutano wa SportPesa jana
    Hapa ni katika picha ya pamoja wachezaji na viongozi wa Singida United na Maofisa wa SportPesa 
    Na hapa ni wakati wanawasili kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizopo kando kando mwa Bahari ya Hindi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZIARA YA KIKOSI CHA SINGIDA UNITED OFISI ZA SPORTPESA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top