• HABARI MPYA

  Wednesday, October 18, 2017

  SIMBA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NJOMBE MJI

  Kipa wa Simba, Aishi Manula akiwa chini kujaribu kuokoa katika mazoezini ya timu hiyo leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji FC Jumamosi 
  Kiungo Haruna Niyonzima (kushoto) akimpita beki mazoezini leo
  Mshambuliaji Laudit Mavugo (kushoto) akiwa mazoezini leo
  Kiungo Said Ndemla (kushoto) akiondoka na mpira
  Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog (kushoto) akiongoza mazoezi leo

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NJOMBE MJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top