• HABARI MPYA

    Wednesday, October 18, 2017

    BASI WALILOKABIDHIWA MBAO FC LEO LEO NA WADHAMINI WAO

    Basi aina ya Isuzu ambalo timu ya Mbao FC ya Mwanza imekabidhiwa leo mjini Dar es Salaam na wadhamini wao, kampuni ya GF Trucks & Equipment kwa ajili ya safari zao kwenye mechi mbalimbali za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
    Mwonekano wa basi hilo kwa mbele ambalo sasa litapunguza bajeti ya uendeshaji wa timu hiyo
    Ni basi maalum kwa ajili ya wachezaji na benchi la Ufundi
    Mkurugenzi wa kampuni ya GF Trucks & Equipment, Alijawa Karmali (kulia) akimkabidhi mfano wa funguo ya basi, Mwenyekiti wa Mbao FC, Solly Zephania Njashi (kushoto). Katikati ni mlezi wa timu hiyo, Mbunge wa Ilemela, Mwanza Angelina Mabula
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BASI WALILOKABIDHIWA MBAO FC LEO LEO NA WADHAMINI WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top