• HABARI MPYA

    Sunday, September 17, 2017

    MAN UNITED YAWATANDIKA EVERTON 4-0 OLD TRAFFORD

    Wachezaji wa Manchester United wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 leo dhidi ya Everton Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya United yamefungwa na Antonio Valencia dakika ya nne, Henrikh Mkhitaryan dakika ya 83, Romelu Lukaku dakika ya 89 na Anthony Martial dakika ya 92 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAWATANDIKA EVERTON 4-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top