• HABARI MPYA

  Saturday, September 30, 2017
  KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI

  KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI

  Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur katika ushindi wa 4-0 leo dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo w...
  FELLAINI APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 ENGLAND

  FELLAINI APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 ENGLAND

  Marouane  Fellaini akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 35 na 49 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya  Crystal Palace ...
  AZAM FC YAWACHOMOLEA SINGIDA UNITED DAKIKA ZA MWISHONI

  AZAM FC YAWACHOMOLEA SINGIDA UNITED DAKIKA ZA MWISHONI

  Na Mwandishi Wetu, DODOMA TIMU ya Azam FC imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji wahamiaji, Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodac...
  YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU

  YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU

  Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza mwendo wa kusuasua katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baad...
  KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL

  KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL

  Kocha Mjerumani wa Liverpool,  Jurgen Klopp akifurahia na mchezaji wake , Msenegali Sadio Mane mazoezini viwanja vya  Melwood jana kujian...
  KOCHA MPYA BAYERN AANZA VIDAL MWENYE KADI NYINGI ZA NJANO

  KOCHA MPYA BAYERN AANZA VIDAL MWENYE KADI NYINGI ZA NJANO

  Kocha wa muda wa Bayern Munich, Willy  Sagnol anayeishikilia timu hiyo baada ya kuondoka kwa Mtaliano Carlo Ancelotti aliyefukuzwa juzi, ...
  Friday, September 29, 2017
  YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO

  YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho kwa Yanga SC kuikaribisha Mtibwa Sug...
  AGUERO AVUNJIKA MBAVU KWENYE AJALI YA GARI UHOLANZI

  AGUERO AVUNJIKA MBAVU KWENYE AJALI YA GARI UHOLANZI

  MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Sergio Aguero ameripotiwa kuvunjika mbavu ya nyota huyo wa Argentina kupata ajali mjini Amsterdam usiku wa...
  ROONEY AFUNGA LAKINI EVERTON 'YAKABWA KOO' NYUMBANI ULAYA

  ROONEY AFUNGA LAKINI EVERTON 'YAKABWA KOO' NYUMBANI ULAYA

  Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia Everton bao la kusawazisha dakika ya 21 kufuatia Adrian Sardinero kuwafungia Apollon Limasso...
  CECAFA CHALLENGE YARUDI, KUFANYIKA KENYA 2017

  CECAFA CHALLENGE YARUDI, KUFANYIKA KENYA 2017

  BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeitaja Kenya kuwa mwenyeji wa Kombe la mataifa ya ukanda huo, maarufu kama Se...
  ANCELOTTI AFUKUZWA BAYERN MUNICH BAADA YA 3-0 ZA PSG

  ANCELOTTI AFUKUZWA BAYERN MUNICH BAADA YA 3-0 ZA PSG

  KOCHA Carlo Ancelotti amefukuzwa  Bayern Munich  baada ya kuwa kazini kwa mwaka mmoja tu, kufuatia kipigo cha mabao 3-0 kwenye mchezo wa  L...
  WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENINI ULAYA

  WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENINI ULAYA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 4-2 dhid...
  Thursday, September 28, 2017
  POULSEN AMUHAKIKISHIA NAFASI MAKAMBA NGORONGORO HEROES

  POULSEN AMUHAKIKISHIA NAFASI MAKAMBA NGORONGORO HEROES

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAKATI Kocha Mkuu wa timu za taifa za vijana, Kim Poulsen akitarajiwa kutangaza kikosi cha vijana wenye u...
  NIGERIA KUWASILI DAR USIKU WA LEO KUIVAA TANZANIA JUMAPILI

  NIGERIA KUWASILI DAR USIKU WA LEO KUIVAA TANZANIA JUMAPILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 ya Nigeria ‘Falconets’ inatarajiwa kutu...
  BATSHUAYI AWAPA 'HESHIMA YAO' TORRES NA DIEGO COSTA

  BATSHUAYI AWAPA 'HESHIMA YAO' TORRES NA DIEGO COSTA

  Michy Batshuayi akitabasamu baada ya kukutana na wachezaji wa zamani wa Chelsea, Fernando Torres (kushoto) na Diego Costa (kulia) jana mj...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  MAKALA

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  BIN ZUBEIRY WIKI HII

  Scroll to Top