• HABARI MPYA

    Sunday, March 12, 2017

    SON HEUNG-MIN APIGA HAT TRICK SPURS YAUA 6-0 FA

    Son Heung-Min akifurahia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 41, 54 na 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Millwall katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Christian Eriksen dakika ya 31, Dele Alli dakika ya 72 na Vincent Janssen dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SON HEUNG-MIN APIGA HAT TRICK SPURS YAUA 6-0 FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top