Son Heung-Min akifurahia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 41, 54 na 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Millwall katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Christian Eriksen dakika ya 31, Dele Alli dakika ya 72 na Vincent Janssen dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment