Emre Can akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 61 ikiilaza 2-1 Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Burnley walitangulia kwa bao la Ashley Barnes dakika ya saba, kabla ya Georginio Wijnaldum kuisawazishia Liveropool dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment