Lionel Messi (kulia) akimtoka beki wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Riazor. Deportivo La Coruna imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Joselu dakika ya 40 na Álex Bergantiños dakika ya 74, wakati la Barca lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment