• HABARI MPYA

  Sunday, April 17, 2016

  SAFARI NJEMA YANGA SC, KAWEKENI HESHIMA MISRI

  Wachezaji wa Yanga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni ya leo wakati wa kusafiri kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Affika dhidi ya wenyei, Al Ahly Jumatano. Yanga inatakiwa kushinda ugenini ili kufuzu hatua ya makundi, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam

  Mkaguzi wa JNIA akitaniana na wachezaji wa Yanga wakati wanaingia ndani

  Mabeki wa kati, Nadir Haroub 'Cannavaro' (kulia) na Vincent Bossou (kushoto) baada ya kuteremka kwenye basi lao

  Kutoka kulia ni Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Kevin Yondan wakiteremka kwenye basi

  Kochq Mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm safari Cairo leo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAFARI NJEMA YANGA SC, KAWEKENI HESHIMA MISRI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top