• HABARI MPYA

    Wednesday, January 10, 2024

    TAIFA STARS IKIJIWEKA NA MECHI YA UFUNGUZI AFCON DHIDI YA MOROCCO


    NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta akiwa mazoezini Jijini San Pedro nchini Ivory Coast kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Morocco Januari 17.
    Wapinzani wengine wa Taifa Stars Kundi F ni Zambia watakaocheza nao Januari 21 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) watakaomenyana nao Januari 24.
    PICHA: TAIFA MAZOEZINI IVORY COAST KUJIANDAA NA AFCON
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS IKIJIWEKA NA MECHI YA UFUNGUZI AFCON DHIDI YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top