• HABARI MPYA

  Saturday, January 06, 2024

  RAIS WA YANGA AFIKA KWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Said jana alimtembelea Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Ali Jabir Mwadini ofisini kwake Jijini Paris Ufaransa na kumkabidhi zawadi ya jezi yetu ya klabu hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA YANGA AFIKA KWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top