• HABARI MPYA

  Monday, January 01, 2024

  AUGUSTINE OKRAH NI MCHEZAJI MPYAWA YANGA SC


  KLABU ya Yanga imemtambulisha winga Mghana, Augustine Okrah (30) kama mchezaji wake mpya, miezi sita tu tangu aachane na watani wao, Simba SC.
  Okrah aliyetambulishwa usiku wa jana wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar anakuwa mchezaji mpya wa pili dirisha hili dogo baada ya kiungo Mzanzibari, Shekhan Khamis.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUGUSTINE OKRAH NI MCHEZAJI MPYAWA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top