• HABARI MPYA

  Sunday, January 14, 2024

  MANCHESTER CITY YAIKANDA NEWCASTLE UNITED 2-0 ST JAME'S PARK


  MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park mjini Newcastle upon Tyne.
  Mabao ya Manchester City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 26, kiungo Mbelgiji, Kevin de Bruyne dakika ya 74 na OscarLast nameBobb dakika ya 90, wakati ya Newcastle yamefungwa na mshambuliaji Msweden, Alexander Isak dakikal ya 35 na Anthony Michael Gordon dakika ya 37.
  Kwa ushindi huo, Manhester City inafikisha pointi 43, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbilivna vnara, Liverpool baafa ya wote kucheza mechi 20, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake  29 za mechi 21 nafasi ya 10. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAIKANDA NEWCASTLE UNITED 2-0 ST JAME'S PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top