• HABARI MPYA

  Wednesday, January 10, 2024

  FIFA YAIFUNGIA SINGIDA KUSAJILI KWA MARA NYINGINE TENA


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Singida Fountain Gate kusajili mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa madai yake beki Mganda, Shafiq Batambuze.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUNGIA SINGIDA KUSAJILI KWA MARA NYINGINE TENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top