• HABARI MPYA

  Monday, January 15, 2024

  SIMBA YASAJILI STRAIKA MGAMBIA ALIKUWA ANACHEZA KAZAKHSTANI


  KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji wa Kimataifa wa Gambia, Pa Omar Jobe (25) kutoka Zhenis ya Kazakhstani, huyo akiwa mchezaji wa nne mpya dirisha hili dogo.
  Wapya wengine Simba SC ni mshambuliaji Saleh Karabaka Kikuya (23) kutoka JKU na viungo Msenegal, Babacar Sarr (26) kutoka US Monastir ya Tunisia na winga, Ladaki Juma Chasambi (19) kutoka Mtibwa Sugar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YASAJILI STRAIKA MGAMBIA ALIKUWA ANACHEZA KAZAKHSTANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top