// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS DK SAMIA ACHANGIA SH MILIOMI 500 HARAMBEE YA TIMU SA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS DK SAMIA ACHANGIA SH MILIOMI 500 HARAMBEE YA TIMU SA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Thursday, January 11, 2024

  RAIS DK SAMIA ACHANGIA SH MILIOMI 500 HARAMBEE YA TIMU SA TAIFA


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan jana alichangia kiasi cha Sh. Milioni 500 kwenye harambee ya kuchangia timu za soka za Taifa katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.
  Rais Samia aliahidi kutoka Fedha hizo baada ya kipigiwa simu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
  Baada ya Rais Samia kutoa ahadi hiyo wafanyabiashara na viongozi wakuu wa taasisi mbalimbali nao walichangia kwa kununua jezi za wachezaji walioiwezesha Tanzania kushiriki Fainali za kwanza za AFCON mwaka 1980 nchini Nigeria.
  Jezi nne zilipigwa mnada na kununuliwa, kipa Juma Pondamali, mabeki Leodegar Tenga na Rashid Iddi Chama na mshambuliaji Peter Tino na kufanya jumla ya Sh. Bilioni 3.7 
  VIDEO: RAS DK AKIAHIDI KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA TIMU ZA TAIFA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS DK SAMIA ACHANGIA SH MILIOMI 500 HARAMBEE YA TIMU SA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top