• HABARI MPYA

  Saturday, January 06, 2024

  DIARRA MCHEZAJI BORA WA YANGA SC MWEZI DESEMBA


  KIPA wa Kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra ameshinda Tuzo ya Kipa Bora wa Mwezi Desemba wa klabu yake, Yanga akiwaangusha mabeki wazawa, Nickson Kibabage na Ibrahim Hamad ‘Bacca’.
  Kwa ushindi huo, Diarra ambaye yupo na timu yake ya taifa kwa maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kuanza Januari 13 hadi Februari 11 nchini Ivory Coast atazawadiwa Sh. Milioni 4 kutoka kwa wadhamini NIC Insurance.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIARRA MCHEZAJI BORA WA YANGA SC MWEZI DESEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top