• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2024

  NGUSHI APELEKWA KWA MKOPO COASTAL UNION HADI MWISHO WA MSIMU


  KLABU ya Yanga imempeleka mshambuliaji wake, Crispin Ngushi Mhagama Coastal Union ya Tanga kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu.
  Taarifa ya Yanga leo imesema; "Mchezaji wetu anajiunga na Coastal Union kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu,".
  Ngushi alijiunga na Yanga dirisha dogo la Januari 8, mwaka 2022 kutoka Mbeya Kwanza ameshindwa kuwavutia makocha wa timu hiyo kwa kipindi hicho cha miaka miwilia kuanzia Mtunisia Nasreedin Nabi na hata sasa Muargentina, Miguel Gamondi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGUSHI APELEKWA KWA MKOPO COASTAL UNION HADI MWISHO WA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top