• HABARI MPYA

  Wednesday, January 17, 2024

  YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA


  KLABU ya Yanga imeajiri Maafisa wanne wapya katika Idara tofauti kuziba nafasi za walioondoka na kuongeza nguvu ya utendaji katika maeneo mengine.
  Hao ni pamoja na Maafisa wawili wa Idara ya Wanachama na Mashabiki, Khamis Jecha na Jimmy Kindoki, Afisa Idara ya Habari na Mawasiliano, Willy Shemoka na Mkurugenzi wa Idara ya Masoko, Ibrahim Samuel.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top