• HABARI MPYA

  Friday, January 05, 2024

  AZAM FC YAACHANA NA STRIKER IDRIS ILUNGA MBOMBO


  KLABU ya Azam FC imeachana na mshambuliaji Mkongo, Idris Ilunga Mbombo baada ya misimu miwili na Nusu tangu awasili Julai mwaka 2021 kutoka El Gouna ya Misri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAACHANA NA STRIKER IDRIS ILUNGA MBOMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top