• HABARI MPYA

  Monday, January 08, 2024

  BALEKE AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI


  BAO pekee la Jean Balake dakika ya 45 na ushei limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Robó Fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
  Sasa Simba SC itakutana na Singida Fountain Gate katika Nusu Fainali keshokutwa Uwanja wa New Amaan Complex.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALEKE AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top