• HABARI MPYA

  Sunday, January 28, 2024

  MAN UNITED YAICHAPA NEWPORT COUNTRY 4-2 NA KUSONGA MBELE FA  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Newport County leo Uwanja wa Rodney Parade mjini Newport, Casnewydd.
  Mabao ya Manchester United yamefungwa na Nahodha, Bruno Fernandes dakika ya saba, Kobbie Mainoo dakika ya 13, Antony dos Santos dakika ya 68 na Ramsus Hojlund dakika ya 90.
  Kwa upande wao, Newport County inayoshiriki League Two (Daraja la Tatu) England mabao yao yamefungwa na Bryn Morris dakika ya 36 na Will Evans dakika ya 47.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA NEWPORT COUNTRY 4-2 NA KUSONGA MBELE FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top