• HABARI MPYA

  Friday, January 12, 2024

  DIARRA NA MALI WALIVYOWASILI IVORY COAST KWA AJILI YA AFCON


  KIPA wa Yanga SC, Djigui Diarra akiteremka kwenye Ndege baada ya kuwasili na timu yake ya taifa, Mali mjini Korhogo nchini Ivory Coast kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kuanza kesho nchini humo.
  Mali itaanza na Afrika Kusini Januari 16 katika mchezo wa Kundi E, kabla ya kumenyana na Tunisia Januari 20 Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly na kumaliza na kumalizia na Namibia Uwanja wa Laurent Pokou.
  PICHA: DIARRA NA MALI WALIVYOWASILI IVORY COAST KWA AJILI YA AFCON
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIARRA NA MALI WALIVYOWASILI IVORY COAST KWA AJILI YA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top