• HABARI MPYA

  Monday, January 15, 2024

  SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA


  KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji Muivory Coast, Freddy Michael Kouablan (25) kutoka Green Eagles ya Zambia ambako alikuwa anaongoza kufunga mabao kwenye Ligi Kuu ya nchi hiyo.
  Huyo anakuwa mchezaji mpya wa tano dirisha hili dogo baada ya washambuliaji, Mgambia, Pa Omar Jobe (25) kutoka Zhenis ya Kazakhstani na Saleh Karabaka Kikuya (23) kutoka JKU ya Zanzíbar.
  Wengine ni viungo Msenegal, Babacar Sarr (26) kutoka US Monastir ya Tunisia na winga, Ladaki Juma Chasambi (19) kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top