// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Tuesday, January 16, 2024

  YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI


  KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guédé Gnadou (29) kuwa mchezaji wake mpya baada ya kumaliza mkataba wake, Tuzlaspor ya Uturuki.
  Guédé anakuwa mchezaji mpya wa tatu Yanga katika dirisha hili dogo, baada ya kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU ya Zanzíbar na winga, Augustine Okrah kutoka Bechem United ya kwao, Ghana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANACHEZA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top